Tuesday, September 30, 2008

From Kenya to Kikuru (Baffin Island)


Today Kuria reflects on his trip to the Arctic. He does so in Kikuyu, his native language, English and Swahili:

KIKUYU
Rugendo raw guthii gitingi kia rugongo nirwacenjirie muturire wakwa na njira nene muno tondu uria nature ndiciragia riu tiguo ndireciria. Nihotete kuona mbere muno ota uria gikuyu kiugaga ati muthomi mugi aikagia maitho kabere. Mbere iyo itanathii rugendo ruru ndionaga mbere ya iniuru riakwa ndaturite ndikunikiire gikorogocaini kana njera nini handu ndirerorera muturire kamwanyaini na ritho rimwe.
Undu wa bata muno ndathomire ni ati no muhaka ngoragwo hindi ciothe ndugamite
wega ta njamba gatagatiini ka andu othe na hote gucenjia uria andu maikaraga muno makiria kuiga bururi wi mutheru na kuhanda miti nigetha ikahota kugucia mbura. Thi no kuhiuha irahiuha niundu wa kwaga kumimenyerera. Mbarabu iria iturite kuu riu ni yambiriirie guthira kwambiririe kugia na urugari thi yothe. Tugukirora naku twarega kumenyerera thi ino twaheirwo ni Ngai witu. Andu othe nondimorie maige bururi wi mutheru ota uria mahota.
Ningucokeria Ngai ngatho muno na andu othe aria mandugamiriire na magituma thii rugendo ruru. Aria othe maturugamiriire na gutuhe indo iria ciothe twendaga cia guthii. Na muno makiria njokerie Sebastian Copeland ngatho cia mwanya niundu wa wira munene andutiire wa kuona ati ndi na kindu giothe, kunumbuiya ta mwana wake, na kemenyerera hindi ciothe. Ngai aroromurathima.
ifundisha kutokana na safari hii ni kuwa na tumainifu nikiwa kwa jumuiya ili tuweze kubandilisha mazingila. Watu wote wapande miti na waihifadhi, na tena waweke nchi ikiwa safi. Mwenyezi Mungu alitupatia tuihifadhi.
huku wote walionisaidia nikaweza kwenda kwa hii safari. Shukurani nyingi Kwa wote tulipoenda na wao, wadhamini wote, hasaa Sebastian Copeland aliefanya chochote kuhakikisha nimeenda naye na nimepata chochote nilipohitaji. Alinifanya mwanawe na sitasahau kamwe.


ENGLISH
This expedition changed the way I think about life and helped me arrange short term and long term goals.
I never really looked out of the bubble of my life and when I did it never took as much effect till I went on this expedition. One of the things I learned on this trip that keeps me confident while back in society is greatness in building consistency at all times not just a moment. It definitely changed my life in a positive direction. I would like to thank Sebastian mostly for including me in this life changing experience. I would also like to thank everyone that invested in this trip and all the sponsors that sponsored us also. I also want thank everyone that experienced along with me because every single individual taught something different. I wish we spent more time together in the North Arctic as a group because getting to be with a group of people for three weeks builds up the relationships tremendously. I loved every second of this trip. Seeing global warming with my eyes helped my ability of expressing the way I feel so now when I tell people of ways to help prevent global warming, it makes me feel great.


SWAHILI
Safari hii ya boriti kaskazini ilibadirisha mafikirio yang ya maisha na ilinisaidia kubadirisha vile ninaweza kuona maisha yang ya leo na miaka ijayo.
Mbeleni sikuwa na ona mere, nilikuwa nimejisingila na mafikilio ya hapa na leo. Nilipokuwa ninajaribu kufikiria juu ya maisha ya miaka ijayo, sikuweza kwa sababu ya visuishi vingi mpaka nilienda kwa safari hii ya boriti kaskazini. Kitu ya maana sana nilijifundisha kutokana na safari hii ni kuwa na tumainifu nikiwa kwa jumuiya ili tuweze kubandilisha mazingila. Watu wote wapande miti na waihifadhi, na tena waweke nchi ikiwa safi. Mwenyezi Mungu alitupatia tuihifadhi.
Ninas nilipohitaji. Alinifanya mwanawe na sitasahau

1 comment:

Unknown said...

What a nice article is this.RIU Hotel Coupon